Bishop Prof Mpeli
IMANI INAYOTENDA. HUDUMA INAYOGUSA.ACTS FELLOWSHIP TANZANIA
MWALIKO MAALUMU

Sherehe ya kutunukiwa uprofesa.

Leadership International Ministerial Academy (LIMA) pamoja na Cornerstone DBL Bible Institute wanakukaribisha kwenye Mahafali ya Pili na Professorial Conferment ya Bishop Dr. Mpeli Mwaisumbe.

Ijumaa, 13 Novemba 2026 · Saa 08:00–12:30
Ukumbi wa Chuo Kikuu Huria, Iringa.

Kubali mwaliko ↓
ONLINE CARD / RSVP

Thibitisha mwaliko wako.

Jaza jina na namba ya simu, kisha chagua kama utahudhuria.

Je, utahudhuria?

Taarifa zako zinaonekana kwa waandaaji pekee. Kwa marekebisho, wasiliana na info@mpelimwaisumbe.org.

RATIBA YA TUKIO

Ratiba ya mahafali.

Ratiba rasmi itaongezwa hapa mara itakapothibitishwa na waandaaji.

CITATION

Safari ya maisha na huduma.

Soma Citation ya Bishop Professor Mpeli Mwaisumbe kuhusu elimu, uongozi na mchango wake katika jamii.